Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huko nida hawatoi kitambulisho itakua wamekipeleka ofisi ya kata uliyoiandika kwenye form. Mie bado sijapata kitambulisho halisi ila namba wamenitumia na kitambulisho cha mtandaoni nimekipata.
 
Huko nida hawatoi kitambulisho itakua wamekipeleka ofisi ya kata uliyoiandika kwenye form. Mie bado sijapata kitambulisho halisi ila namba wamenitumia na kitambulisho cha mtandaoni nimekipata.
Nitafwata nikipata muda.
Maana nipo mkoa tofauti na nilikoandikishia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sad news...nimesikitika juu ya hili tukio
Hivi kweli dunia ya leo iliyojaa kila aina ya wanawake(tena idadi ya wanawake ni kubwa tofaut na wanaume)bado mtu unabaka?

Halaf mjamzito sasa,hata kama ni iman za kishirikina hii sio
Yaan kuna watu wana matatizo ya akili si bure.

Halafu mafala kama hawa ndo wanasababisha taaluma ya udaktari idharaulike
 

Itakuwa kazaliwa huko Merseyside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…