Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee....
Ni kweli carba..Yaan kuna watu wana matatizo ya akili si bure.
Halafu mafala kama hawa ndo wanasababisha taaluma ya udaktari idharaulike
Taratibu Mama Mchungaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]24hrs nipo hewani na Sina mpango wa kwenda huko nida,liwalo na liwe
Nida wajinga Sana.
Kiujumla hii nchi Ina viongozi wapumbavu.
Akili zao sometimes sijui huwa wanaziweka wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni pepsi big?
Yaani nimejitahidi Kwenda taratibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taratibu Mama Mchungaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]