Wakati FIFA ikitoa taarifa hiyo, Klopp alilalamika sana akisema FIFA itawezaje kuandaa mashindano hayo katika kipindi ambacho pia mashindano ya mataifa ya Afrika hufanyika.
Sasa CAF wamehamisha mashindano yao kutoka muda ambao ungegongana na ule wa klabu bingwa ya dunia, Klopp tena analalamika na kuwatisha waafrika, hebu atuache kidogo!
Hiki ndicho kipindi cha asili cha mashindano haya na kuyahamishia Juni - Julai ni kuyavuruga kwa sababu hali ya hewa ya Afrika ni tofauti sana na sehemu nyingine ya dunia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.