Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni Afrika Kaskazini na Kusini pekee ndiyo huwa kavu katika kipindi hicho.
Aisee....Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru NIDA kwa kunitumia namba yangu ya kitambulisho kwa wakati ingawa wamechelewa kwa siku 6.
Hata hivyo kutokana na mlundikano wa watu bado nawapongeza NIDA kwa jitihada zao.
Sent using Jamii Forums mobile app