Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1579593250720.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nichukue nafasi hii kuwashukuru mtandao pendwa VODACOM kwanza kwa kuchukua dhima la kunikumbusha kusajili line yangu kila nipigapo.
Pili nawapongeza VODACOM kwa kuweka utaratibu mzuri wa usajili ulionifanya nisajili line yangu haraka sana.
Tatu nawapongeza VODACOM kwa uvumilivu wao kwa siku hizi zote ambazo line yangu ilikuwa ikitumia usajili wa zamani lakini wameweza kunipatia huduma mbali mbali za kifedha bila kujali usajili wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Klop wa Ulaya,kuna Klop wa Uyole,Mbeya @SaintAnne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah,Ni Jana tu nimepewa jina la klopp wa praise&worship team..baada ya kuzomea mashabiki wa Manchester.
Nimepewa dhamana ya timu hii wasijue hata sijui namna wachezaji wanakaaga uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nichukue nafasi hii kuwashukuru mtandao pendwa VODACOM kwanza kwa kuchukua dhima la kunikumbusha kusajili line yangu kila nipigapo.
Pili nawapongeza VODACOM kwa kuweka utaratibu mzuri wa usajili ulionifanya nisajili line yangu haraka sana.
Tatu nawapongeza VODACOM kwa uvumilivu wao kwa siku hizi zote ambazo line yangu ilikuwa ikitumia usajili wa zamani lakini wameweza kunipatia huduma mbali mbali za kifedha bila kujali usajili wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom