Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzigo Ni mzito Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Peke yangu siwezi..
Nazidi kuomba kikombe hiki Cha uklopp wa uyole kiniepuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
464026431_420243.jpeg
 
24hrs nipo hewani na Sina mpango wa kwenda huko nida,liwalo na liwe

Nida wajinga Sana.
Kiujumla hii nchi Ina viongozi wapumbavu.
Akili zao sometimes sijui huwa wanaziweka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara alama za vidole. Mara hivi. Sijui pasipoti za kielektroniki. Vitambulisho vya taifa. Kuna ajenda kubwa hapa. Kuwabana watu. Kuwafuatilia vizuri. Big Brother yupo kila mahali. Na hizi ni dalili za mwanzo za udikteta. Na ukiinua kichwa tu unagongwa. Wana alama za vidole. Na sura ya kila mtu. Ndiyo silaha kubwa ya Wachina hii. Watu mabilioni wote wametulizwa...Kimyaaaa !!!

Obama alipitisha sheria nyingi sana zilizoingilia maisha ya Wamarekani moja kwa moja. Mpaka vyakula wanavyopaswa kula watoto mashuleni. Bima za afya kwa lazima...Amekuja "kichaa" Trump amezifuta zote. Hoja yake kubwa ni kwamba serikali isiingilie sana maisha ya watu. Mtu ale anachotaka. Hata akiamua kutokuwa na bima akiugua afe ni halali yake. Ndiyo maana ya uhuru...Serikali kazi yake kulinda raia. Na kutoa huduma za umma...kwa mfumo uliopangwa. Mengine haya watu wawe huru...
tapatalk_1579610285831.jpeg
 
Mara alama za vidole. Mara hivi. Sijui pasipoti za kielektroniki. Vitambulisho vya taifa. Kuna ajenda kubwa hapa. Kuwabana watu. Kuwafuatilia vizuri. Big Brother yupo kila mahali. Na hizi ni dalili za mwanzo za udikteta. Na ukiinua kichwa tu unagongwa. Wana alama za vidole. Na sura ya kila mtu. Ndiyo silaha kubwa ya Wachina hii. Watu mabilioni wote wametulizwa...Kimyaaaa !!!

Obama alipitisha sheria nyingi sana zilizoingilia maisha ya Wamarekani moja kwa moja. Mpaka vyakula wanavyopaswa kula watoto mashuleni. Bima za afya kwa lazima...Amekuja "kichaa" Trump amezifuta zote. Hoja yake kubwa ni kwamba serikali isiingilie sana maisha ya watu. Mtu ale anachotaka. Hata akiamua kutokuwa na bima akiugua afe ni halali yake. Ndiyo maana ya uhuru...Serikali kazi yake kulinda raia. Na kutoa huduma za umma...kwa mfumo uliopangwa. Mengine haya watu wawe huru...View attachment 1329726
Njoo unywe soda hapa mwakaleli...nitakupandisha mlima na kukushusha Bure kabisa[emoji3526][emoji3526]

Hadi brother SYB ameliona tatizo,ila Kuna watz wapo bado hawajaona Kama Kuna shida huko serikalini[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom