Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti utanipandisha mlima na kunishusha bure kabisa...Mtu mwenyewe unaumwa. Sitaki mada kesi miye [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Yeah! Kuna tatizo mahali. Tena kubwa tu. Na facial recognition system si ajabu tayari. Copy and paste kutoka Kigali...

Ila 2020 ndiyo hii...
Mwaka huu chukua form brother ..
Haiwezekani tuna viongozi wabovu hivi,
Kulikoni kura yangu ipotee bure,akheri nikupigie wewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijazisahau kebehi za marafiki zangu ambao ni machampioni wa zamani ambao leo timu zao ni mdebwedo. Man U, Aesenal, Chalsea.
Kama mpo hapa nyie mliopo mtaa wa Livingstone na Kariakoo, Livingstone na Aggrey. ( Kariakoo)
Mtaa wa Aggrey na Indira Gandhi, mtaa wa Chagga na Libya ( Mchafukoge).
Mtaa wa Alykhan na Nkomo, mtaa wa Olimpio na bibi Titi, mtaa wa Ocean. (Upanga).
Nyie wa Temeke mwisho, Manzese uzuri, Sinza Kijiweni, Ubungo Kibangu, Tabata Mawenzi.
Mlinimwagia povu kama lote hasa msimu wa 2013, 2014, 2019.
Sasa ni zamu yenu.
Msinune, mcheke tu kama nilivyokuwa nacheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1579611016908.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom