Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😀😀
Njema sana....Alhamdulillah niko salama kabisa.!Ni kweli haina jinsi..
Dah[emoji2]
Sijambo TH,habar za kwako?u mzima huko
Uzima upo bro. Kuna vimajaribu jaribu hivi nilianza navyo lasti yia bado vinajichomoza chomoza ila napambana navyo. Ni kama hivi muda ukipatikana tunakutana hapa bro. Mungu Aendelee kutupa uzima. Mengine yote madogo...Ha ha mtoto ana balaa huyo..
Hope uzima upo pande hizo bro,huku ni kwema kabsa,tunashukuru Muumba anasaidia.
SawasawaMpira wa miguu bhana upo kwenye damu, niliucheza, sasa naushangiliaView attachment 1329826
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba navumilia...ila liver.[emoji75][emoji75]Kama kuna mtu anakwazika na hizi picha za livapuu na Simba nazotupia hapa avumilie
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwalimu kashasha ni domo bana😂😂😂 hii kitaalam tunaitaje?
kwako mwalimu kashasha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wewe aunt[emoji41][emoji41][emoji41]
#Unaniachaje
#hataMimi
#FreeSoul
Kwani iko nini..?[emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hio natamani nilogout but wale jamaa watanimind nikiwanyima GIFs za magoliNa hapa hatujachukua ubigwa!!aiseee[emoji23][emoji23]
Ulivyo itikia ezi ifu tutaonana kweli [emoji1][emoji1][emoji1]
Naomba namba niku "dip" ili na wewe uwe nayo yangu maana nipo karibu na mizani hapaNiko hapa uelekeo wa igawilo.
Hii barua ikifika uyole njia panda nitaipata tu[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app