Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Wembamba au wanene
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#amfreesoul
Hawawezi kabisaMpira ni burudani ingawa wengine hawaiweziView attachment 1329812
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe [emoji91][emoji91][emoji91]Kama maraki zangu hapa hapo, wenzenu waliopo hapa wataubeba utani wangu kwa niaba yenu View attachment 1329809
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah naingoja kwa hamu sana pamoja na ile queen of the southUnaifatilia?safi sana..bado haijatoka aisee
Naona bado zote hazijatoka..zote zipo poa sanaYeah naingoja kwa hamu sana pamoja na ile queen of the south
Hasa Hawa man u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijazisahau kebehi za marafiki zangu ambao ni machampioni wa zamani ambao leo timu zao ni mdebwedo. Man U, Aesenal, Chalsea.
Kama mpo hapa nyie mliopo mtaa wa Livingstone na Kariakoo, Livingstone na Aggrey. ( Kariakoo)
Mtaa wa Aggrey na Indira Gandhi, mtaa wa Chagga na Libya ( Mchafukoge).
Mtaa wa Alykhan na Nkomo, mtaa wa Olimpio na bibi Titi, mtaa wa Ocean. (Upanga).
Nyie wa Temeke mwisho, Manzese uzuri, Sinza Kijiweni, Ubungo Kibangu, Tabata Mawenzi.
Mlinimwagia povu kama lote hasa msimu wa 2013, 2014, 2019.
Sasa ni zamu yenu.
Msinune, mcheke tu kama nilivyokuwa nacheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1329807
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 30 sio mchezo,mlikuwa mnakwama wapi wazee?[emoji23][emoji23]Sisi mashabiki w liverpool tuliokuwepo kwa muda kiasi, tumevumilia mengi.
Jiulize kucheza ligi yenye ushindani ukiwa na kikosi madhubuti, lakaini miaka 30 unasotea ubingwa.
Je wewe ungeweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 hii kitaalam tunaitaje?
Wacha tuzingoje....Kwema lakin mzee mwenzake KD?[emoji2]Naona bado zote hazijatoka..zote zipo poa sana
Ni kweli haina jinsi..Wacha tuzingoje....Kwema lakin mzee mwenzake KD?[emoji2]
flip.it