moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kocha wa klabu ya Liverpool ya England, Jurgen Klopp, amelitahadharisha Shirikisho la Soka la Afrika, CAF, kuwa vilabu vya Ulaya vitajiuliza mara mbili mbili kusajili wachezaji wa kiafrika.
Kuanzia 2021 huko Cameroon, kipute cha AFCON kitapigwa Januari - Februari, ambao ndiyo muda wa tangu kuanza kwa mashindano hayo, 1957.