Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United watalazimika kulipa ada ya juu ya uhamisho kumpata mshambuliaji wa Paris St-Germain na Uruguay Edinson Cavani, 32, mwezi huu badala ya kumchukua kwa mkopo - lakini mchezaji huyo yuko tayari kuondoka PSG. (Manchester Evening News)
 
Inter Milan wanakaribia kumsajili kwa mkopo beki wa Chelsea Victor Moses, 29, kujiunga na mkufunzi wake wa zamani Antonio Conte. Fenerbahce, klabu ambayo kiungo huyo wa kimataifa wa Nigeria anachezea kwa mkopo imeridhia kumuachilia. (Mail)
 
Bro Umewaza sana kwa kweli mimi sikufikiri huko kabisa
Sijaona kwingine ambako ili kuwa na namba ya simu inabidi uchukuliwe alama za vidole. Kwa kawaida hii hufanyika mtu ukitenda kosa. Siku unaingia mahabusu/gerezani unachukuliwa alama za vidole. Na kama ukiwa mhamiaji. Siku unaingia nchini mwa watu. Unapoomba vibali vya kazi, makazi ya kudumu na hata uraia. Wanakuchukua alama za vidole. Lengo ni kupata urahisi wa kukufuatilia. Na kujua uliko. Hata ukitenda kosa iwe rahisi kukupata. Sasa raia wa kawaida usiye na hatia tena katika nchi ya amani kama Tanzania unalazimishwa kuchukuliwa alama za vidole, ili iweje? Hizi ni taratibu zilizopo kwenye jamii gandamizi. Hii ikichanganywa na Artificial Intelligence pamoja na facial recognition + makamera huko barabarani na masoftware dukuzi ya Waisraeli nakwambia kila unachokifanya 24/7 jamaa wanakucheki tu. Siyo dalili nzuri hii bro !!!
 
Back
Top Bottom