Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanyakyusa hawachelewagwi indeed wallahi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyakyusa hawachelewagwi indeed wallahi [emoji23][emoji23][emoji23]
Walter huyu. Kawa mashuhuri dunia nzima kwa kupiga picha za aina hii. Mpaka anaalikwa kwenye maonyesho ya kimataifa. Safi sana !!!
Huyu brother anafaa kabisa akachukue fomu agombee ikibidi urais.
Atatufaa Sana[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata hewa kidogo[emoji23]View attachment 1330053
Mkuu wenu hopulesi sana basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro; atanipa nini?Utampa?
Mabaharia siyo watu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mahakama kuu imemhukumu kunyongwa. Labda ilikuwa symbolic tu. Wanajeshi hawatakubali jenerali wao anyongwe....ila message sent. Hata uwe na madaraka makubwa namna gani, fuata haki. Siku hayo madaraka yakikuponyoka basi sheria yaweza chukua mkondo wake....
Mkuu wenu hopulesi sana basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa elimu ya sasa ilivyo wala haishangazi. Tuna shida sana katika upande wa lugha na kujieleza. Kiswahili sanifu kinatupa shida. Kiingereza ndiyo kabisaaa....
Sidhani kama atakuwa na mwisho mwema huyu haijalishi kama ni mwanausalama na tayari ni tajiri kupindukia.
Sidhani kama atakuwa na mwisho mwema huyu haijalishi kama ni mwanausalama na tayari ni tajiri kupindukia.
HakikaUtampa?