Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe Don ukisimama pale kolomije utapita tu,achana na yule bashite.

Sent using Jamii Forums mobile app
Koromije mwaka huu wanauana pale. Kuna Gwajiboi nasikia kapania sawasawa. Halafu kuna Al Bashite kajipanga sawa sawa na mabilioni ya Mo. Na aliyeko sasa. Sasa mimi ambaye hata senti sina nitaanzia wapi. Hata wadhamini tu wa kunisindikiza kurudisha fomu hakuna. Acha tu wenye pesa waitafune hii nchi aisee. Tupangeni tu mistari tupate vitambulisho vya NIDA na kuchukuliwa alama za vidole kwa sababu hakuna namna.
 
huu ni ukweli usiopingika, hakuna uhusiano wowote wa alama za vidole na line ya simu ikiwa tayari mtu amesajili na kutoa taarifa zake zote muhimu.

Viongozi wetu wana mawazo ya hovyo na kukurupuka, ni zoezi lisilo na tija zaidi sana imekua ni kupoteazea watu muda.
 
😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…