myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
IPO siku wataweza........Wataweza kweli?
....Aaaa wapii
...Hata wakiungana?
....Aaaa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂Karibuni turekebishe viungo muhimu vya miili yetuView attachment 1331025
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120]
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sikubahatika kuingalia lakini nimefurahi tumeanza kuweka rekodi vizuri... tumetoka kwenye ule mstari mwekunduThe Happiness umeona chama letu la @AstonVilla jana tulichomfanya Watifodi
Sema TH. Bila shaka mwaka mpya unazidi kukuletea mibaraka. Umefanya vyema kusalimia wahenga. Heshima kwako mara dufu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]The Don.....Bhangosha!
Heshima yako muhenga[emoji2320][emoji2320][emoji2320][emoji2320]
[emoji120][emoji120]Mungu ni mwema sana namshukuru kwa neema zake.....Unaendeleaje huko?Sema TH. Bila shaka mwaka mpya unazidi kukuletea mibaraka. Umefanya vyema kusalimia wahenga. Heshima kwako mara dufu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Utaokoa Jahazi tu mzee mwenzake[emoji23][emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku salama TH...[emoji120][emoji120]Mungu ni mwema sana namshukuru kwa neema zake.....Unaendeleaje huko?