Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thobiasi Andengenye.
Kamishina wa zimamoto
tapatalk_1579775228654.jpeg
 
Mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain aliwavunja mbavu mashabiki waliojitokeza jana usiku kushuhudia mechi ya nusu fainali Kombe la Ufaransa ‘Coupe de la Ligue’ dhidi ya Reims, pale alijua kwamba mpira upo nyuma yake na kuamua kuinama kidogo na kuugonga kwa makalio akitoa pasi.
 
Katika mchezo huo mabao ya PSG yalifungwa na Marquinhos na Tanguy Kouassi, pamoja bao la kujifunga Ghislain Konan, ilimuhakikishia kocha Thomas Tuchel kufuzu kwa fainali atakayocheza dhidi ya Lyon ambayo imefuzu kwa hatua hiyo baada ya kuishinda kwa penalti dhidi ya LOSC Lille usiku wa Jumanne.
 
Back
Top Bottom