Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
PSG ilikuwa inajulikana kwamba ingeondoka na ushindi kwenye Uwanja wa Auguste-Delaune lakini hakuna aliyetegemea kwamba pasi ya tako aliyotoa Neymar ndiyo ingeteka mjadala wote baada ya filimbi ya mwisho.