Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji huyo alipewa kadi, lakini usiku huo PSG iliondoka na ushindi 3-0, hata hivyo pasi ya makalio na kushika mpira vilivyofanywa na Neymar na Mbappe ndivyo vilivyokuwa mjadala kwa mashabiki wa soka Ufaransa.
 
Wenyeji Spurs walipata pigo kwa kuumia kwa Harry Winks dakika 10, baada ya mapumziko huku Norwich ikisawazisha dakika 20, baadaye kupitia Teemu Pukki aliyefunga kwa mkwaju wa penalti iliyompita Hugo Lloris, ambaye ndiyo kwanza amerejea baada ya kukaa nje kwa miezi mitatu kutokana na tatizo la bega.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…