myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila mtu ana umuhimu wake...
hahahaha..nimemkumbuka huyo Dereva na sekeseke lile...jaribu kuwaza jinsi alivyoipokea habari hii kwa masikitikomzee wa kukata mauno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una moyo mkokaa
Aiseee so kwa kupigwa hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo raha ya mpira ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anne wewe ni mchokozi sana 😀 😀 😀
wengi wakipewa vyeo huwa wanajisahau kabisa, na hata makosa ya kawaida ya kibinadamu wao huchukulia kama promo kwao, amevuna alichopandahahahaha..nimemkumbuka huyo Dereva na sekeseke lile...jaribu kuwaza jinsi alivyoipokea habari hii kwa masikitiko
Usilinganishe Aseno na wacheza rede [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Aiseee so kwa kupigwa hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi aseno wamewashinda!?!!wao at least walijipinda wakadraw
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa .....Kumbe ni maisha tuwengi wakipewa vyeo huwa wanajisahau kabisa, na hata makosa ya kawaida ya kibinadamu wao huchukulia kama promo kwao, amevuna alichopanda
Manchester Ni hovyo kabisa.Usilinganishe Aseno na wacheza rede [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu ya mpira hayoAiseee so kwa kupigwa hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi aseno wamewashinda!?!!wao at least walijipinda wakadraw
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio haya ya Manchester utd[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu ya mpira hayo