Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.2275842863814377E18~2.jpeg
 
CRISTIANO Ronaldo ana balaa si la kitoto, unaambiwa mabao mawili aliyofunga mwishoni wa wiki dhidi ya Parma yanamfanya kukaa juu ya gwiji wa Ujerumani, Gerd Muller katika orodha ya wachezaji soka waliowahi kufunga mabao mengi zaidi katika historia ya mchezo huo.
 
Kwa idadi hiyo amempita Muller kwa bao moja na sasa ameanza kumfukuzia gwiji wa Hungary, Ferenc Puskas, yule ambaye tuzo ya goli bora la mwaka imepewa jina lake, Puskas ana jumla ya mabao 747, akimalizana naye ataanza kumfukuzia Pele anayeshika nafasi ya tatu akiwa na mabao 767.
 
Back
Top Bottom