Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1579042458751.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Romario Mwenyewe alikuwa anadai amefunga mabao alfu 1,
Ameunga unga magoli yake yote tangu alivyoanza kucheza cha ndimu mitaa ya kwao[emoji23][emoji23]
Nafasi ya pili katika orodha hiyo inashikiliwa na Mbrazil Romario ambaye hadi anastaafu soka alikuwa amefunga mabao 772, wakati Gwiji wa Austria, Josef Bican akiongoza orodha hiyo akiwa na mabao 805 katika mechi 530.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom