Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Nimeshaweka ila sio kwa mbio zile kwenda kuedit post daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakuchezea aliyekuquote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona ee lakini bado anabishaSiyo mahondaw tu hata Heaven Sent alimquote na hiyo quote iliandikwa Stella [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stella - Chegge 🎵🎵
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] al manusura avunje miguu yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli wasichana wa kazi waitwao stella ni janga.
Kuna mmoja alikaribia jumaliza wavulana na wababa mtaa mzima[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aunt leo una furaha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inlaw kuzima kelele za liver humu si kazi rahisiAunt leo una furaha sana
Wewe likubali tu yaishe. Ukiendelea kukomaa ndiyo kabisa litakamata....
Ila akina Stella huwaga warembo sana. Tulikuwa naye mmoja JKT maafande walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona mpaka akahamishiwa kwa mkuu wa kambi kuwa anapikia wageni wakubwa wakubwa wakija kutembelea kambi. Kwenye kombania hatukumuona tena....
Stella Mamuya - toto jeupe guu guu tako tako umbo mkatiko vibukta vile vya makuruta havikubali aisee.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona ee lakini bado anabisha
Aisee Hongera sana mana pasingetosha humu leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inlaw kuzima kelele za liver humu si kazi rahisi
#stella55555
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] simo mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona anatumia nguvu nyingi kukataa[emoji23][emoji23]
Kuanzia leo yeye tunamtambua kama stella akibisha alete cheti cha kuzaliwa[emoji23][emoji23]
Saint anne
Upo vizuri carba,huyu stella wetu akiamua kutukalia koon hatunywi maji leo zamu yake
Kwa mamlaka niliyojipa kuanzia leo tutakutambua kwa jina la Stella kama hulitaki na unabisha hili jina sio lako weka cheti cha kuzaliwa[emoji41][emoji41]