moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa huu utetezi stella wetu upo vizuri
Mimi niliona marahaba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jina limeongezewa..nafanyiwa hujuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako
Inakuwaje mtu akifa tunamzika kabisa na mwili tunauona halafu kumbe kachukuliwa msukule!? Mechanism gani inatumika kuwachukua? Sent using Jamii Forums mobile appMtu akiumwa au akianguka na mapepo anaombewa na kupona mechanism gani huwa inatumika kumponya? Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
1682
Ndo maana najiita anonymous forever.
MANCHESTER United inahitaji maombi baada ya kichapo kutoka kwa Burnley uwanjani Old Trafford juzi.
Makali ya Liverpool si mchezo kwenye Ligi Kuu England. Kwa kuanzia Machi 28, 2019 wababe hao wa Anfield wanaonolewa na Jurgen Klopp wamevuna pointi nyingi kuliko timu nyingine yoyote, ambapo kwenye mechi 29 walizocheza wamevuna pointi 85, wakishinda 28, sare moja na hawajapoteza mchezo wowote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaniTunaiombea Man United waendelee na hali waliyonayo sasa kwa misimu kumi au ishirini toka sasa[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atapotea humu mpaka ushindi ujao wa liver
Nilishaona nimeanza kufanyiwa mazigaombwe hapa[emoji848]
Nina wasiwasi na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Kwenye huo Uzi nilifikaje kwani?
Kuna kitu hapa sio bure[emoji23][emoji23][emoji23]
BTW,jina si langu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππSijaedit Mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina wasiwasi nyie ndio mmefanya michezo Kwenye Post yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah nimecheka kindezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!! Ni jina tu jamani tusilikatae.....Kwakweli wasichana wa kazi waitwao stella ni janga.
Kuna mmoja alikaribiak kumaliza wavulana na wababa mtaa mzima[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inlaw kuzima kelele za liver humu si kazi rahisi
#stella55555
Wewe likubali tu yaishe. Ukiendelea kukomaa ndiyo kabisa litakamata....
Ila akina Stella huwaga warembo sana. Tulikuwa naye mmoja JKT maafande walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona mpaka akahamishiwa kwa mkuu wa kambi kuwa anapikia wageni wakubwa wakubwa wakija kutembelea kambi. Kwenye kombania hatukumuona tena....
Stella Mamuya - toto jeupe guu guu tako tako umbo mkatiko vibukta vile vya makuruta havikubali aisee.....