Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ajali zingine zinashangaza. Kijana alikuwa kwenye boti halafu huyu samaki mwenye mshale akaruka kutoka majini na kumfuma kijana shingoni. Bahati nzuri sana mishipa mikubwa ya damu haikuathirika na kijana alikimbizwa hospitalini ambako jopo la madaktari walifanikiwa kumwondoa huyo samaki bila madhara zaidi. Hallelujah [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
MUNGU Ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh na mimi leo nimekutana na kisa kinachofanana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…