Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

465013126_144843.jpeg
 
Bingwa wa masumbwi wa uzito wa juu Anthony Joshua akisalimiana na rais wa Nigeria. Japo ni mzaliwa wa Uingereza wazazi wake ni Wayoruba kutoka Nigeria. Ili kuonyesha heshima, vijana wa Kiyoruba hulala chini ili kuonyesha heshima wanapowasalimia wazee. Watu wamepiga makelele sana mtandaoni kuwa eti amejidhalilisha...
2.22714341537046221E18.jpeg
 
View attachment 1334439
Amejidhalilishaje wakati ndio mila zao? Ni sawa na kusema mwanamke wa kitanzania amejidhalilisha kupiga magoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandaoni humu vurugu tupu. Obama naye moto ulimuwakia alipokwenda Japan na kuinamisha kichwa wakati anasalimiana na Mfalme Hirohito wa nchi hiyo. Eti kawadhalilisha Wamarekani wakati kwa Wajapan ni dalili ya kutoa heshima unaposalimiana na Mfalme...
 
Bingwa wa masumbwi wa uzito wa juu Anthony Joshua akisalimiana na rais wa Nigeria. Japo ni mzaliwa wa Uingereza wazazi wake ni Wayoruba kutoka Nigeria. Ili kuonyesha heshima, vijana wa Kiyoruba hulala chini ili kuonyesha heshima wanapowasalimia wazee. Watu wamepiga makelele sana mtandaoni kuwa eti amejidhalilisha...
View attachment 1334439
10B3687A-AEE7-44A3-BE48-968246188B84.jpeg
 
Back
Top Bottom