Mtandao upo fasta?
Mtandao upo fasta?
ttcl naipenda kwenye kifurushi cha bandika banduaSh ngapi
We mpembaaumesahau na maji yenu yaliojaa madini....
ongezea na meno yaliojaa weusi kama chembe za makaa
wewe mnyamweziiiiiWe mpembaa
Mbona unatoa info nusunusu? Dk ngapi na sms ngapi? Je dakika ni za mitandao yote au ndani ya mtandao?
Hata laini sina
Bora unisaidieMbona unatoa info nusunusu? Dk ngapi na sms ngapi? Je dakika ni za mitandao yote au ndani ya mtandao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisajilie laini basittcl naipenda kwenye kifurushi cha bandika bandua
huna kitambulisho?Nisajilie laini basi
Nenda kawanuse afu urudi na majibuhivi wahindi hawanuki jasho?
mbona kwenye cinema zao wanacheza sana ngoma bila ya kutoka jasho.
Kimepoteahuna kitambulisho?
Halafu Haya Ni maneno ya mkosaji,tunachukua kombe[emoji91]teh teh teh
no comment
aston villa walikufunga 5
Yasije kuwa ya halotelMtandao upo fasta?
wanafamilia wanaangalia filamu ya kihindi ndio nasikia wimbo unaitwa mohabbat...Nenda kawanuse afu urudi na majibu
Inategemeana na eneo.Mtandao upo fasta?
Niko na white teeth dogo 🤣🤣🤣 afu me sijazaliwa hapa hayo meno machafu nitayatolea wapi? Kingine maji safi na salama yanauzwa yanini kucheza na typhoidumesahau na maji yenu yaliojaa madini....
ongezea na meno yaliojaa weusi kama chembe za makaa
Wamepaka ant naniliu ileeewanafamilia wanaangalia filamu ya kihindi ndio nasikia wimbo unaitwa mohabbat...
mke na mume wanakwenda mbio kama farasi lakini hawatoki jasho
ttcl inategemea na eneo husika....Yasije kuwa ya halotel