Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Scott McTominay ni mtoto wa klabuni lakini je, unaweza kumpa unahodha kwa sasa? Paul Pogba hauwezi kumpa unahodha kutokana na tabia zake zisizoeleweka. Kila siku anataka kuiacha klabu. Katika safu ya ushambuliaji hakuna mtu mzima wa kumwamini. Hata kama Romelu Lukaku angekuwepo.