Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Haina kufeli
Mimi wa 80's tuheshimiane[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]kalivyo na maneno sasa
Mungu atupe afya na uzima
Jumapili njema. Ya kwako imekuwaje?
Haiwezi kunoga, inatakiwa nile iliyopikwa na mtaalamu kwanza nijue ladha yakeSio lazima ununuliwe unaweza pika mwenyewe mpendwa
Nimemuona mitaa fulani leo nikamshtua akasema eti yuko bize na shamba [emoji3][emoji3]
hey liverpool munanisikia hukooo
mic test liver
kima punju = wanapatikana zanzibar pekee
View attachment 1335196
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka ushahidi wa nida. Ukiweka natuma picha yangu[emoji23][emoji23][emoji23]