Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi kamanda.Nitarudi baadae
Safi kamanda.Nitarudi baadae
Hivi kwenye huu uzi hakuna hata mtu wa kuninunulia pizza walau nionje inanogaje[emoji16][emoji16]
Yaani ukiunga unga stori zake unapata full bio. She will never walk alone aisee [emoji16][emoji16]Stella anajisahau sana,hapa bado hatujasahau tausi,mara gauni la yanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Likes kama kawaida.Nimerudi sasa
Mapema tu!😂Likes kama kawaida.
ongea vizuri na Daemusin akuletee Zanzibar PizzaHivi kwenye huu uzi hakuna hata mtu wa kuninunulia pizza walau nionje inanogaje[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
💯💯Kila mtu ana umuhimu wake
Huyu mtu Guryeo anaijulia wapi pizza [emoji16][emoji16]ongea vizuri na Daemusin akuletee Zanzibar Pizza
akija mtamalizana wenyewe