Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Tunakulagaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
HBD my young sis....Thank u babe [emoji120]
Uzee unafikiri mchezo. Kila kiungo kinauma. Hata ukicheka mbavu zinauma. Kenti weiti mai futi [emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Asante sana dogo ..
Ukubwani nishafika, can't wait kufika uzeen [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fulu magome halafu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Happy birthday bae wa mtu. Sasa unakaribia kuvuka uandaeitin kama wa stella ati 2010 kalianza kuwa kamdada wakati wengine tulikua tunakimbizana na wajukuu