Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kosea kujenga lakini usikosee kuoa/kuolewa...![]()
Natamani kuuza kila kitu nilicho nacho japo kabla sijawa navyo vilikuwa ni sehemu ya ndoto zangu ila sasa vimegeuka mateso
wakuu najua walio wazima watachangia. wagonjwa mungu awatie nguvu ya urejevu wa afya zenu mapema na mkaendelee kutimiza kile mlichoagizwa kutimiza na Mungu alie Mkuu! Nisipoteze mda! Ni iv mm nimeoa na nina watoto wawili (nawapenda kuliko chochote duniani) Shida ni hyu mama watoto yaan ni...www.jamiiforums.com
Ni hayo tu kwa sasa kutoka hapa Radio Busisi....