Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

435821700_330316.jpeg
 
Siyo kweli. Kusameheana ni muhimu sana katika maisha [emoji16]
Ili upate nguvu ya kusamehe hata wewe unatakiwa uwe nalo la kusamehewa. Hata biblia inasema msiposamehe na baba yenu wa mbinguni hawawasamehe ninyi [emoji3][emoji3]. Hii inaonyesha wazi kuwa tunasamehe ili tusamehewe vinginevyo haiwezekani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom