Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,297
- 16,573
Mbona wakuu mmelala
Wakishua kuna tuhuma huku njoo ujibu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha, The don bhaana ....Wakishua ananipa kalenda tu kila kukichaa, sjaambulia kitu[emoji51][emoji51]
Ndio..China au?
Ngoja na mimi nizaliwe keshoKheri ya kuzaliwa mrembo Depal
Nakuombea uwe na mwaka mzuri na wenye mafanikio,Muumba pia akusimamie kwenye kila hitaji lako!!
View attachment 1335524
Picha iliwekwa kwa display ya uziUchawi upo walahi[emoji134][emoji1787]
Haiewezekani picha imekaa sekunde
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana time zao za kupiga[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaMungu atupe usiku mwema
Duh h!![emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]
View attachment 1335719
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka ushahidi wa nida. Ukiweka natuma picha yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inlaw ndo anapenda maana anajua matumizi yake[emoji23][emoji23]🙄Unapenda kucha bila shaka.
Kucha vidole vyote au?....Inlaw ndo anapenda maana anajua matumizi yake[emoji23][emoji23]
Likes za weekend yote mzee?!😂Weka likes za weekend...
[emoji44][emoji44]Picha iliwekwa kwa display ya uzi
Halafu kuna mwamba kaituma tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkale ni nani? Mkale ni mtu utapata anakula watermelon na soda [emoji41] [emoji23]
Mkale ni msukuma[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]