Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka kogwa hiyo[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
kidogo siku hizi wamakunduchi wamepunguza sana kuzipa umuhimu hizo sherehe...
zamani ilikuwa ukifika mwezi wa sherehe za mwaka kogwa wamakunduchi wote wanarudi nyumbani kwao...

jaajeee mkongweee kutoka mjiniiii?

lafudhi yao kama hujazoea kuishi nao huokoti hata neno moja
 
Screenshot_20200126-115213~2.jpeg
 
Back
Top Bottom