Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kosea kujenga lakini usikosee kuoa/kuolewa...Natamani kuuza kila kitu nilicho nacho japo kabla sijawa navyo vilikuwa ni sehemu ya ndoto zangu ila sasa vimegeuka mateso
wakuu najua walio wazima watachangia. wagonjwa mungu awatie nguvu ya urejevu wa afya zenu mapema na mkaendelee kutimiza kile mlichoagizwa kutimiza na Mungu alie Mkuu! Nisipoteze mda! Ni iv mm nimeoa na nina watoto wawili (nawapenda kuliko chochote duniani) Shida ni hyu mama watoto yaan ni...www.jamiiforums.com
[emoji2][emoji2] bila shaka sasa hivi utakua na 23yrs
huku kwema tu, dua zangu liver afungwe leo ukose furaha sio kila siku unashangilia tu
Viandunje vikivaa suti kweli havipendezi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Suits kwa watu warefu inakaa mahali pake sanaView attachment 1335586
Asante baba Hamida ila hapo naomba uongezee 8
Angalia katika faragha yako...[emoji16][emoji16]
Tena akivaa ya rangi kama nyekund hivi,unaweza sema mtungi wa Oryx [emoji16][emoji16][emoji16]Viandunje vikivaa suti kweli havipendezi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia katika faragha yako...[emoji16][emoji16]