myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sasa hapa ndio nami nataka kulala, huko si itakuwa muda wa breakfast?
Wakati kwingine ndio limezama. The world is unfairJua linachomoza na matumaini mapya...
Weka likes twende mbele....
Ahsante carba [emoji16][emoji16]Mnunulie tu acha kuvunga basi mwamba[emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Moudy jamani...angalia nimezaliwa mwaka 1993 haya piga hesabuMmhhh we mwana, miaka 27 umeipata lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amin 🙏🙏Happy birthday Depal.
Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu yenye kheri, akujaalie uchamungu, akujaalie watoto wema, akujaalie mwisho mwema[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
The Don 🤣🤣🤣Uzee unafikiri mchezo. Kila kiungo kinauma. Hata ukicheka mbavu zinauma. Kenti weiti mai futi [emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Shukrani sana bro 🙏❤HBD my young sis....
Mungu Aendelee kukubariki na kukuhekimisha zaidi na zaidi.
Hangamaga !!! [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]
Ndioooo 😅😅😃😃😃 andaeitini mnapungua tu amebaki carbamazepine na mwenzake Stella
Hangamaga - ishi maisha marefu (Kisukuma) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shukrani sana bro [emoji120][emoji173]
Barikiwa pia, ila ulichoki-bold sijakielewa
Matawi muhimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na njaa wakati chakula kipo kwenye friji na kuwa na njaa wakati hakuna kitu....Ahsante sana ningekuwa karibu ningekuja.
Kinachonifanya niwe macho mda huu ni njaa.
Eti nimejifanya mzungu kula saa 12 jioni.
Wee nimeamka mda huu njaa kama yote, na chakula nilishatia kwa friza, kuamka na kudefrost naona uvivu, jioni nilitaka kupika cake nikaona uvivu pia,saa 2 usiku nikataka kutoka mahala tukapige msosi nikaona uvivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uvivu please leave me.
Hapa kitu pekee naona chakula ni passion fruit lakini haitosaidia pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseehKwa ile sauti ya kwanza haiwezekani nikawa sikusikia, trust me haiwezekani ile sauti inakuwaga na hisia za upole na unyenyekevu