Wanasema kulikuwa na ukungu mzito (zero visibility) na ushauri wa mamlaka ya hali ya hewa ulikuwa umetolewa kuwa helikopita zote na ndege ndogo ndogo zisiruke. Helikopita zote za polisi na nyinginezo zilikuwa zinasubiri ukungu huo upungue. Haieleweki ni kwa nini helikopita yake iliamua kuruka. Inasemekana ilijibamiza kwenye kilima na kuripuka. Sad !!!