Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miami siendi aisee, nitakuvizia tu siku moja huko Gamboshi nikuone. Huko kwenye Super Bowl watu wameshalangua tickets zote, sasa hivi wanauza $4000 mpaka $5000 kwa ticket moja. Hiyo $4000/5000 nikimrushia Mama mzaa Yego ataifanyia la maana sana! [emoji3] [emoji3]
Mwenyewe tiketi nimepewa tu na soja mmoja hivi alikuwa denti wangu. Midola hiyo Gamboshi unatajirika aisee....halafu gemu yenyewe wala siyo mshabiki kivile. Zingekuwa ngumi labda [emoji16][emoji16][emoji16]
 
464923001_139798.jpeg
 
Back
Top Bottom