myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwenyewe tiketi nimepewa tu na soja mmoja hivi alikuwa denti wangu. Midola hiyo Gamboshi unatajirika aisee....halafu gemu yenyewe wala siyo mshabiki kivile. Zingekuwa ngumi labda [emoji16][emoji16][emoji16]Miami siendi aisee, nitakuvizia tu siku moja huko Gamboshi nikuone. Huko kwenye Super Bowl watu wameshalangua tickets zote, sasa hivi wanauza $4000 mpaka $5000 kwa ticket moja. Hiyo $4000/5000 nikimrushia Mama mzaa Yego ataifanyia la maana sana! [emoji3] [emoji3]