Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo haimaanishi kuwa mawe hayo yanaingika njia ya reli dhidi ya maji kwa asilimia 100, la hasha! Haiwezekani lakini inawezesha mifereji ya maji chini na kuzunguka kwenye njia ili maji hayo yasikae muda mrefu na kudhoofisha uthabiti wa reli.
 
Ili kupunguza mitikisiko hiyo, kuna njia rahisi ya kushikilia vyuma ambayo hufyonza mtikisiko na kupunguza sauti ya msigano wa vyuma. Inahusisha mpira aina ya EPDM (Ethylene Propylene Diene Monomer) kwasababu una uwezo mkubwa wa kuzuia joto, maji na kasoro nyingine ya kiufundi.
 
Matokeo yake, mitikisiko na kelele hupungua kwa kiasi kikubwa na kuwafanya watu waliopo ndani ya treni kufurahia usafiri huo.

Tunachojaribu kusema ili tueleweke… ni kwamba kutoa mawe yaliwekwa kwenye reli sio jambo zuri kwasababu yamewekwa kwasababu maalumu ya kuimarisha reli na kuwalinda watu wanaotumia usafiri wa treni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana kweupe[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hivyo ndivyo mbona vimawe hivyo haviko "bonded" kufanya kweli vyuma visitoke pahala pake ?

Nahisi kuna kazi yake mahsusi. Inawezekana Magnetically au Electrically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…