moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama tu, hili jina lako tu ndio huwa linakonga sana mtima na linanikumbusha mbali sana.
aisee naona nalazimishwa kuanzisha vitaTukumbushane
Acha kuniharibia. Nataka niongeze mke wa tatu.
taratibu kijana mbona speed sana, inaonyesha kwenu hakuna wakubwa maana huna adabu kabisa na wakubwaSimwagi mchele kwenye kuku wengi.
Nitakutafuta.