myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sura mbayaaa
Safiii
Saizi kabisa hiyoo
Mchana umeshika kasi
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona namiliki kitambo mzee na mtoto mzuri Ayyanna ameanza kutema mate na kula maembe mabichi tayari
unataka usaidie kulea?
Kama hivyo ngoja nikuachie mkeo, maana sitakiwi kufanya jambo ambalo nikifanyiwa naweza kuua mtu hadharani kabisa.
ha ha ha ha yaani jirani unaona kabisa vijana wanataka kuchukua jimbo langu umekaa kimya tu?
unataka nilale na njaa haliyakuwa unafahamu fika kazi ya uandishi wa habari haifungamani na upande wowote..
naheshimu miiko ya kazi yangu ya uchonganishi na maudhi
Asante sana, nafurahi kujumuika nanyi tena
Moud tugawane Basi.February ikawe njema kwenu.
Mkakutane na vitita vya hela kama hivi View attachment 1341148
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee udenda umentoka