Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walahi Mimi hiyo sehemu hunikalishi[emoji1787].
Kwanza hata kupanda kivuko kufika hapo Siwezi [emoji23].
Kuna vitu Mimi vinipite tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine kuna jambo la hatari lilishawshi kukuta mpaka kupelekea Uoga huo au Umezaliwa nao.?


Basi mimi hakuna mahali napenda kupaona kama hizo fukwe, yani hata wanisahau hapo nitaishi tu😬😬
 
Pengine kuna jambo la hatari lilishawshi kukuta mpaka kupelekea Uoga huo au Umezaliwa nao.?


Basi mimi hakuna mahali napenda kupaona kama hizo fukwe, yani hata wanisahau hapo nitaishi tu[emoji51][emoji51]
Sijawahi kuogelea hata siku moja,hata kujaribu sijawahi.
Nasikia kwenye maji huwa kunakuwa na wadudu/wanyama hatarishi..
Nikikumbuka na wale Watu wamekufa majini basi Mimi hamu yote inaniisha.
Kuna vitu sijawahi tamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu usinitishe na mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…