Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahaha daahh huu unga gani umetumika?
Wewe unazivaaga mpendwa? Unaweza kutupia kapicha tukaona? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Zinavutika huwa hazimchukizi mvaaji binafsi nazipenda mno.
Vaa miwani kaka [emoji41]Ameanza kukonda tayari au macho yangu yananidanganya?
View attachment 1342282
Ngoja huyo Mnyakyusa niliyemuita hapo aje atuambie...Hahaha daahh huu unga gani umetumika?
Yes navaa juu natupia baibui.Wewe unazivaaga mpendwa? Unaweza kutupia kapicha tukaona? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1342288
Aiseee...Mabaibui yanaficha vitu adimu wallahi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Yes navaa juu natupia baibui.
Yes mpendwa za masiku tele aliyekufisha mwambie nampongeza.