Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee. Sikutegemea kama ungejitokeza. Kwema lakini? Kuonekana kwako hapa kumekuwa kwa hatihati sana....sawa na TH tu....[emoji16]Hapana sina ata moja bro, hizo gharama kwasasa siwezi kuzimudu
Unaogopa kibano?Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaah hata angekuwa mbuzi wangu ningemuacha wabaki naye tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kuwa ni mnyonge?
[emoji28][emoji28][emoji28] siasa
Duuhh aiseeAkija kufikisha miaka 70 sasa itakuwaje?
View attachment 1342336
Unaogopa kibano?
Hawa jamaa hawafai aisee...kichurachura sana pamoja na mitama ya hapa na pale...Umeambiwa mbuzi amekula bustani ya jeshi, unadhani kifuatacho hapo ni kitu gani?
Ni mwendo wa kichapo tu hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂nimetafuta kibegi nimekiona baada ya dakika tatuPicha hii imezua utata. Watu wanauliza; kwa nini binti huyu kavaa kipochi chenye umbo la jeneza hapo mgongoni? Ni ujumbe gani anajaribu kuwafikishia mabaharia?
View attachment 1342345
Nipo mpendwa kwenye uzi wetu wa like
Nipo nachunguliaulihama ule wa picha ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16] duuuhHakuna hata miili ya kufufua. Marehemu wote waliungua vibaya beyond recognition mpaka jana wachunguzi walikuwa bado wanaokota vipande halafu huyu nabii wa Ghana anaongelea kuwafufua? Ila kwenye miujiza kila kitu kinawezekana [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1342280
Hakuna hata miili ya kufufua. Marehemu wote waliungua vibaya beyond recognition mpaka jana wachunguzi walikuwa bado wanaokota vipande halafu huyu nabii wa Ghana anaongelea kuwafufua? Ila kwenye miujiza kila kitu kinawezekana [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1342280
😂😂Hawa jamaa hawafai aisee...kichurachura sana pamoja na mitama ya hapa na pale...