Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa usaidizi wa viongozi wa kidini nchini Humo amegundua kwamba, kulikua na makosa kwenye tarehe yake ya kuzaliwa na kwamba, hakuzaliwa 1943 kama alivyokua akiamini bali ni 1947. Hii itamruhusu kugombea urais mwaka 2021 maana umri wake ni under 74
 
Haki ya Nani 😂😂
 
Siasa za ujanja ujanja zitalighalimu sana bara la Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…