Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mhenga kazini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani, hawa sasa nao wamezidi. Enzi hizo kulikuwa na timu ya wahuni wa Kariakoo; ilikuwa inaitwa Nungu. Nadhani ingewapiga bao hawa Liverpool wako aisee! 😀😀
Huyo ni fundi au