Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wachina wajinga sana. Wanakula kila kitu matokeo yake wanaokoteza magonjwa ya kila aina huko. Kuna siku watakuja kuokoteza liugonjwa lenye mortality rate kubwa halafu halina tiba tuishe wote....
Inawezekana pia ni matokeo mabaya ya maabara wanazojaribu kupandikiza kila aina ya virusWachina wajinga sana. Wanakula kila kitu matokeo yake wanaokoteza magonjwa ya kila aina huko. Kuna siku watakuja kuokoteza liugonjwa lenye mortality rate kubwa halafu halina tiba tuishe wote....
Corona huyu anaua 2% tu ya wanaompata. Vipi ingekuwa 40% kama Ebola halafu unampata kwa kuvuta hewa ya mgonjwa tu; na incubation period ya wiki nzima?