Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa hapa siungani na zitto kabisaaa. Mikopo tutakosa je kawafikiria watanzania maskini?soon primary zote za serikali ada zitatangazwa bila kusahau secondary bado wale wa mikopo chuo wengi watakosaAwa fyucha prezidenti anazidi "kututetea" huko majuu kwa mabeberu...
View attachment 1344323
Awa fyucha prezidenti anazidi "kututetea" huko majuu kwa mabeberu...
View attachment 1344323