Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Penzi lilizima jana tarehe 01/02/2020 kwa Mtume Mwamposa.
Siku ya jana ilikuwa ni ngumu sana kwa ndugu yangu wa karibu bwana Losioki Ole Sabaya pale alipopokea simu na kuambiwa kwamba mke wake mpya kabisa aliyefunga nae ndoa tarehe 13/01/2020 amefaliki dunia alipokuwa anagombania kukanyaga mafuta ya upako ya Mtume Mwamposa maeneo ya majengo, Moshi...