Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Watu wanachekelea hili zuio kwa makonda ila hawajui tu zuio hili ni mzigo kwa watanzanie wengi wanaoishi nje au wanaojiandaa kwenda kuishi huko. Hao hao marekani walimzuia modi wa india kwenda huko ila alivyoushika u PM hawakua na jinsi wakamfungulia
Hata ukikuta unachapiwa utamvumilia?
Hawa mitume na manabii wanawakamata sana wanawake sijui kwa nini. Wafuasi wao wengi ni wanawake na ndiyo watoa sadaka wao wakuu. Na wakimkamata mkeo basi andika maumivu. Nyumbani hutamuona na vihela vyake vyote vitaishia huko. Wanaharibu ndoa sana....Penzi lilizima jana tarehe 01/02/2020 kwa Mtume Mwamposa.
Siku ya jana ilikuwa ni ngumu sana kwa ndugu yangu wa karibu bwana Losioki Ole Sabaya pale alipopokea simu na kuambiwa kwamba mke wake mpya kabisa aliyefunga nae ndoa tarehe 13/01/2020 amefaliki dunia alipokuwa anagombania kukanyaga mafuta ya upako ya Mtume Mwamposa maeneo ya majengo, Moshi...www.jamiiforums.com
Kweli manabii wa saiv sijui wanamalimbwata yaan wanawake wanakua kama watumwa vile,huyu zumaridi huku kawakamata wa kutosha yaan mfuasi wake akikukuta unamtaja hata jina inakua ugomvi mkubwa mnoHawa mitume na manabii wanawakamata sana wanawake sijui kwa nini. Wafuasi wao wengi ni wanawake na ndiyo watoa sadaka wao wakuu. Na wakimkamata mkeo basi andika maumivu. Nyumbani hutamuona na vihela vyake vyote vitaishia huko. Wanaharibu ndoa sana....
Marehemu Apumzike salama. Angalau kafa akigombania mafuta ya upako abarikiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna kitu wanakitafuta kwetu. Tusubiri tu kitajulikana. Kuna wanaosema ni deposit kubwa ya madini ya Urani yaliyogunduliwa huko Dodoma. Wengine wanasema hawahafurahishwa na precedent iliyowekwa na Tanzania kuhusu sekta ya madini. Nchi zote za Afrika zikiamka na kuanza kurekebisha mikataba yake ya madini akina ACACIA wengi watapata shida sana. Na kujipenyeza kwa Wachina Afrika kumeanza kuwaumiza hivyo wanatafuta nchi chache wajisimike sawasawa. Si ajabu tumechaguliwa sie...Watu wanachekelea hili zuio kwa makonda ila hawajui tu zuio hili ni mzigo kwa watanzanie wengi wanaoishi nje au wanaojiandaa kwenda kuishi huko. Hao hao marekani walimzuia modi wa india kwenda huko ila alivyoushika u PM hawakua na jinsi wakamfungulia
Nitamuonya tu lakini simuachi. Hainaga makombo.Hata ukikuta unachapiwa utamvumilia?
Baada ya kufungiwa Zumaridi kaishia wapi? Haya mambo ni shidaKweli manabii wa saiv sijui wanamalimbwata yaan wanawake wanakua kama watumwa vile,huyu zumaridi huku kawakamata wa kutosha yaan mfuasi wake akikukuta unamtaja hata jina inakua ugomvi mkubwa mno
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kuna taarifa bado anaendelea na maombi yake kama kawaidaBaada ya kufungiwa Zumaridi kaishia wapi? Haya mambo ni shida
Duh aiseee
Umeona mbali bro,wachache wataona jambo kama hili. Tukiweka siasa pembeni hizi ban ni kitisho tu cha kutukamata kisawia. Na matajiri kamwe hawataumia,maskini tutarundikiwa kila aina za kodi kufidia pale tunapokosa mikopo ya wahisaniKuna kitu wanakitafuta kwetu. Tusubiri tu kitajulikana. Kuna wanaosema ni deposit kubwa ya madini ya Urani yaliyogunduliwa huko Dodoma. Wengine wanasema hawahafurahishwa na precedent iliyowekwa na Tanzania kuhusu sekta ya madini. Nchi zote za Afrika zikiamka na kuanza kurekebisha mikataba yake ya madini akina ACACIA wengi watapata shida sana. Na kujipenyeza kwa Wachina Afrika kumeanza kuwaumiza hivyo wanatafuta nchi chache wajisimike sawasawa. Si ajabu tumechaguliwa sie...
Shida yao ni kuwa kila wanapokwenda huwa wanaharibu sana. Hili siyo jambo rahisi na watakaoumia ni wananchi wa kawaida. Na akina Zitto watatumiwa wee na mwisho nao watatupwa pembeni. Ngoja tusubiri....
Duh[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Huyo hata ukijaribu kumuacha hutaweza. Ukimkumbuka utarudi tu kubembeleza.
#KuchapiwaKawaidatu
#KuchapiwaHakuepukiki
#HainagaMakombo